
Harzad baada ya kumchapa teke Ball boy.
Usiku
wa jumanne klabu ndogo ya ligi two kule nchini England Bradford City,
ilijihakikikishia kuingia fainali ya Capital one kwa idadi ya magoli 4 kwa 3 ya
michezo miwili dhidi ya Aston villa.
Usiku
wa jana nao mambo yalikuwa magumu kwa Chelsea baada ya kutoka suluhu na Swansea
City na kuiwezesha timu hiyo kuingia fainali ya Capital one kwa mara ya kwanza.
Katika
mchezo awali Chelsea ilifungwa magoli 2 kwa 0.
Fainali
ya Capital One, itachezwa tarehe 24
February mwaka huu.
Mbali
na yote tukio la kusikitisha ni kadi nyekundu mshambuliaji wa Chelsea

Eden Harzad alitolewa mchezoni baada ya kumpiga teke Ball boy.

Eden Harzad alitolewa mchezoni baada ya kumpiga teke Ball boy.
0 comments:
Post a Comment