
Siku chache baada ya kupata uthibitisho wa mchezaji wa klabu
ya Simba Emmanuel Okwi kuwa ahajakimbia kambini na badala yake yupo katika
mazungumzo na klabu ya Etoile Du Sahel ya tunisia hii mchezaji huyo mauzo yake
yamekamilika kwa asilimia 100,
Akizungumza na Blog hii mwenyekiti wa kamati ya usajili wa
klabu ya Simba Zacharia Hans Pope amesema Okwi ameuzwa kwa thamani ya dola laki
tatu za kimarekani saswa na milioni 450 za kitanzania.
Hans Pope amesema kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail
Aden Rage ayupo nchini humo kwa siku kadhaa sasa kumalizana na klabu ya Etoile
juu ya Okwi.
0 comments:
Post a Comment