
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona Pep Guardiola hii leo amepewa
kibarua rasmi cha kuinoa timu ya Bayern Munich ya ujerumani.
Guardiola amekaa nji ya uwanja kwa takribani miezi saba sasa tangu aachane na ufundishaji wa
soka kwa muda.
Nafasi ya Guardiola imekuja baada ya kocha wa Munich Jupp Heynckes kutangaza nia ya
kupumzika kufundisha soka kabisa kutokana na kuwa na umri wake wa miaka 67.
Macho ya
matajiri na makocha wengi wakiwemo Roman Abrohomovic wa Chelsea na Ferguson wa machester united waliwahi kutanga
nia ya kutaka muhispania huyo awe na nafasi katika vilabu vyao.
0 comments:
Post a Comment