ARSENAL YAUA KWENYE EPL.



 Arsenal's Olivier Giroud
Katika mchezo wa ligi kuu ya England hapo jana Arsenal imeibuka na ushindi wa magoli  5 kwa , magoli ya Arsenal yakifungwa na
Lucas Podolski (22)
Oliver  Giroud (47, 57)
Santi Cazorla (53)
Theo Walcott (54)
Wakati goli la Westham limefungwa na Collison (18)  na kwa matokeo hayo Arsenal imefikisha alama 37 ikiwa nafasi ya  6.

0 comments:

Post a Comment