
Mbali na kuwa na miundo mbinu bora ya michezo mbalimbali usiku. Bafana bafana sawa na mwenye duka alikosa msingi wa biashara, kauli hii inakuja timu hiyo kushindwa katika mchezo wa kwanza ikiwa nyumbani baada ya kutoka Suluhu na Cape Verde kwenye fainali za AFCON2013.
Hii ni rekodi inayojirudia kwani hata fainali za kombe la dunia kwa mwaka wa 2010 Bafana ilianza vibaya kwa kutoka sare ya goli 1 kwa 1 na Mexico
Saa nne kamili Angola na Morocco
0 comments:
Post a Comment