WATANO WALIONGIA KWENYE KIKAO CHA UBORA WA BBC.



           Demba Ba, Younes Belhanda, Didier Drogba, Christopher Katongo and Yaya Toure
                               Majembe yanayo wania tuzo.
Shirika la utangazaji la BBC limetoa orodha ya majina matano ya wachezaji watakaowania uchezaji bora wa Afrika kwa tuzo za BBC.
Wachezaji wamepangwa kama ifuatavyo ambapo mchezaji bora wa Africa kwa mwaka wa 2011 Yaya Toure na Didier Drogba wote wa Ivory Coast wa Msenegal Demba Ba , Mmorocco Younes Belhanda and Mzambia Christopher Katongo. Ndio watakaowakilisha katika tuzo hizo
Wakati kura zitaanza kupigwa December 13. Lakini kama wadau wanapswa kuchagua mchezaji bora kwa nambari +44 7786 20 50 75:  na mshindi kutangwa December 17
Namba za washiriki hao ni.
Text 1 for Demba Ba,Text 2 for Younes Belhanda ,Text 3 for Didier Drogba
Text 4 for Christopher Katongo, Or Text 5 for Yaya Toure
DROGBA. Uwezo mkubwa alio uonesha kwenye michuano ya klabu bingwa na kule nchini Ujerumani na kuifanya Chelsea kutwaa taji la mabingwa barani ulaya lakini alifunga goli lililoiwezesha timu ya Chelsea kutwaa kombe la FA.
YAYA TOURE. Sababu alikuwa ndiyo funguo ya Manchester City msimu uliopita na kuiwezesha timu kutwaa ubingwa wa England kwa 2011/2012 baada ya ukame wa miaka takribani 44.
YOUHANES BELHANDA. Akiwa na klabu ya Montele ya nchini Ufaransa alishiriki kikamilifu huku akipachika magoli 12 na kutwaa ubingwa wa Ligi one
FELIX KATONGO. Nyota huyu akiwa kama nahodha alikiwezesha kikosi cha Zambia kutwaa taji la Africa kwa mwaka wa 2012 baada ya kufunga Ivory Caost.
DEMBA Ba. Akiwa kama nyota wa Newcastle united msimu uliopta alikiwezesha kikosi chake kumaliza nafasi ya tano kwenye ligi England huku akiwa na magoli 17 wakati msimu huu anashika nafasi ya pili akiwa na magoli 8.

Mwaka 2011 mshambuliajiwa Ghana naOlimpic Marselle, Ayew Pelle alitwaa tuzo hiyo.

0 comments:

Post a Comment