Timu ya
tafifa ya Ethiopia imetanga kikosi chake kitakacho shiriki michuano ya CECAFA
pale nchini Uganda kuanzia Nov 24 mwaka huu.
Mabungwa hao
wa afrika wa mwaka 1962 wanashiriki michuano hiyo huku wakiliacha kundi kubwa
la wachezaji wanaotarajiwa kuliwakilisha taifa kwenye michuano ya AFCON2013
kule nchini Afrika ya kusini.
Kiungo wa Yared Zenabu wa St
George ya nchini humo ndiye mchezaji pekee kutoka nyumbani alieshiriki kupeleka
timu kwenye AFCON2013 wakati wachezaji 14 wote kutoka ligi ya nyumbani watakao iwakilisha
Ethiopia kwenye Cecafa hawakuwemo kwenye kikosi cha awali. Kwa upande mwingine Ethiopia ambayo miaka 31 sasa haijashiriki michano ya Afcon imemwita mchezaji wake Abraham Kassa anaecheza klabu ya Alabama ya nchini Marekani kuliwakilisha taifa kwenye michuano ya Challenge.
……………….
Goalkeepers: Binyam Habtamu (Hawassa City), Samson Asefa (Harar Beer), Deraje Alemu (Sebeta City)
Defenders: Moges Tadesse, Robel Girma (Sidama Coffee), Girma Bekele (Hawassa City), Mehari Mena (Commercial Bank Ethiopia)
Midfielders: Gatoch Panomo, Masood Mohamed (Ethiopia Coffee), Yared Zenabu, Mesfin Kidane (Saint George), Tilahun Wolde (Defence), Abdul Karim Hassan (Electricity), Elias Mamo (Commercial Bank Ethiopia), Mulualem Mesfin (Arba Minch)
Strikers: Dawit Fekadu, (Dedebit), Yonathan Kebede (Electricity), Amele Milkias (Arba Minch), Fikru Tefera (Thanh Hoa, Vietnam), Abraham Kassa (Alabama College, USA), Yusuf Salah (Syrianska, Sweden)
MWISHO.
0 comments:
Post a Comment