
Majembe yanayo wania tuzo.
Shirika
la utangazaji la BBC limetoa orodha ya majina matano ya wachezaji watakaowania
uchezaji bora wa Afrika kwa tuzo za BBC.
Wachezaji
wamepangwa kama ifuatavyo ambapo mchezaji bora wa Africa kwa mwaka wa 2011 Yaya
Toure na Didier Drogba wote wa Ivory Coast wa Msenegal Demba Ba , Mmorocco
Younes Belhanda and Mzambia Christopher Katongo. Ndio watakaowakilisha katika
tuzo hizo
Wakati
kura zitaanza kupigwa December 13. Lakini kama wadau wanapswa kuchagua mchezaji
bora kwa nambari +44 7786 20 50 75: na mshindi kutangwa December 17
Namba
za washiriki hao ni.
Text
1 for Demba Ba,Text 2 for Younes Belhanda ,Text 3 for Didier Drogba
Text
4 for Christopher Katongo, Or Text 5 for Yaya Toure
DROGBA. Uwezo mkubwa alio uonesha kwenye
michuano ya klabu bingwa na kule nchini Ujerumani na kuifanya Chelsea kutwaa
taji la mabingwa barani ulaya lakini alifunga goli lililoiwezesha timu ya
Chelsea kutwaa kombe la FA.
YAYA TOURE. Sababu alikuwa ndiyo funguo ya
Manchester City msimu uliopita na kuiwezesha timu kutwaa ubingwa wa England kwa
2011/2012 baada ya ukame wa miaka takribani 44.
YOUHANES BELHANDA. Akiwa na klabu ya Montele ya nchini
Ufaransa alishiriki kikamilifu huku akipachika magoli 12 na kutwaa ubingwa wa
Ligi one
FELIX KATONGO. Nyota huyu akiwa kama nahodha
alikiwezesha kikosi cha Zambia kutwaa taji la Africa kwa mwaka wa 2012 baada ya
kufunga Ivory Caost.
DEMBA Ba. Akiwa kama nyota wa Newcastle united
msimu uliopta alikiwezesha kikosi chake kumaliza nafasi ya tano kwenye ligi
England huku akiwa na magoli 17 wakati msimu huu anashika nafasi ya pili akiwa
na magoli 8.
Mwaka 2011 mshambuliajiwa Ghana naOlimpic Marselle, Ayew Pelle alitwaa tuzo hiyo.