Simba SC imejichanganya kumsajili mchezaji Ramadhani Suleiman Chombo ‘Redondo’, bila kuwasiliana na klabu yake na yatawatokea kama yaliyowatokea kwa Ibrahim Rajab ‘Jeba’, kupoteza fedha zao walizompa mchezaji.
haya yamesemwa na Japha Iddi hii leo wakati akizungumzia suala la usajili uliofanywa na Simba kwa kiungo wake Ramadhani Chombo.
0 comments:
Post a Comment