SEEDORF AKIMBILIA MAREKANI


                           
Kiungo wa zamani wa Uholanzi Clarence Seedorf amejiunga na klabu ya Botafogo ya nchini Brazil kwa mkataba wa miaka mwili.

Kwa mujibu wa taarifa toka katika mtandao wa klabu hiyo ya jijini Reo De Jeneiro inasema kuwa imefarijishwa sana na usajili wa kiungo huyo alicheza kwa mafanikio makubwa katika kipindi chake chote cha soka barani ulaya.

Seedorf ameachana AC Milana alicheza kwa mafanikio makubwa kutokana na umri ikiwa sasa na umri wa miaka 36 lakini bado amedai kuwa ana nafasi kubwa ya kuifanya Botafogo kung2aa nchini Brazil.

Hili ni wimbi kubwa la mastaa kwa sasa kujiunga na vilabu mbali mbali vya marekani ikiwemo barani Asia huku ikiwemo funu ya kiungo wa Chelsea Frank Lampard kutaka kujiunga na LA Galaxy ya nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment