Timu ya wafanyakazi wa taasisi za
serikali katika manispaa ya Iringa ipo kwenye maandalizi makali kujiandaa na
mashindano ya Simishemita yanayotaraji kufanyika kitaifa mkoani Dodoma mwezi
huu.
Katibu
mkuu wa timu za wafanyakazi wa serikali wa manispaa hiyo Athumani Mayoro
amesema maandalizi yapo vizuri kinachosuburiwa ni utendaji tu katika michuano
hiyo.
Timu hiyo inatarajiwa kusafiri katikati
mwezi huu ambapo tarehe rasmi ya kuanza mashindano hayo yatakayowashirikisha
wafanyakazi wa taasisi za umma ni tarehe 22 ya mwezi huu.
0 comments:
Post a Comment