Andy Murrey
Mcheza
Tennis wa kiingereza Andy Murrey ameingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya
Shanghai Open baada ya kumfunga Radek Stepanek toka jamhuri Czech kwa seti 4-6,
6-2, 6-3.
Ushindi wa
huo wa robo fainali utamkutanisha Murrey na Marin Cilic wa Crotia au Roger
Federer ambao kwa sasa wapo uwanjai kucheza mchezo wa robo fainali.
Murrey
mwenye umri wa miaka 25 aliingia hatua ya robo fainali kwa kumtoa Alexander
Dolgopolov wa Ukrain katika mchezo wa raundi ya tatu aliyoingia baada ya
mipnzani wake kujitoa kutokana na kuwa na majeraha.
Andy ndiyo
nyota anayetazamwa sana na waingereza huku wakitegemea kazi yake irejeshe
heshima Tennis nchini Uingereza.
Taarifa toka BBC.
0 comments:
Post a Comment