Ernie Brandts
Klabu bingwa ya Afrika mashariki na kati
Dar Young Africans imemtambulisha rasmi kocha wake mpya Mholanzi Ernie Brandts.
Kwa kumbukumbu ya karibu kocha huyi ndiye yule aliyekuwa kiifundisha klabu bingwa ya Rwanda APR.

Kocha
huyo amewasili jijini Dar es Salaam jana usiku na leo asubuhi ametambulishwa
rasmi kwa waandishi wa habari na kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuifundisha
klabu hiyo ya Jangwani.
Brandts ambaye aliwahi kuwa nyota wa timu ya taifa ya Uholanzi na klabu kubwa ya nchi hiyo PSV Endoven akicheza nafasi ya ulinzi, amekuja Yanga kuchukua nafasi ya mbelgiji Tom Saintfiest aliyetimuliwa wiki iliyopita baada ya kukaa kwenye klabu hiyo kwa siku 81.

0 comments:
Post a Comment