
Michael Maluwe kulia akiwa katika moja kazi za kikapu nchini.
Uongozi wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini TBF upo mbioni kuandaa kozi ya makocha na viongozi inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Hayo yamezungumzwa na Katibu msaidizi wa TBF.Michael Maluwe kuwa kozi hiyo inalengo la kusafisha makocha na viongozi wote nchini hususan vingozi wa mikoa.
Kwa muda mrefu sasa viongozi wa kikapu wamekosa uwezo mkubwa wa kuendesha kikapu na kuleta tija ya mchezo huo.
0 comments:
Post a Comment