
Marci Maximo
Aliekuwa kocha wa timuya taifa ya Tanzania Taifa Stars anatarajiwa kutua nchini kesho kwaajili ya kufanya makubaliano na timu ya Yanga ya kuinoa timu hiyo.
Afisa habari wa klabu ya Yanga Luis Sendeu amesema kuwa kocha huyo raia wa Brazil anatarajiwa kutua nchini kesho majira ya saa nane mchana.
0 comments:
Post a Comment