MIYEYUSHO ATETEA UBINGWA WAKE WA UBO.


 
Bondi wa kulipwa Tanzania Francis Miyeyusho usiku wa jana alimtwanga bondia wa kulipwa toka nchini Malawi Jonh Masamba kwa technical knock out ya raundi ya tano katika pambano la raundi kumi.
Kwa matokeo hayo yamemfanya bondia huyo wa kitanza Francis Miyeyusho kutetea ubingwa wake wa UBO alioutwaa kwa mara ya kwanza toka kwa Mbwa na Matumla.
Kwa mujibu wa makamu wa raisi wa shirikisho la ngumi nchini PST Aga  Piter amesema kwa kinachosubiriwa kikubwa ni kumtafuti Miyeyusho bondia mwengine ili aweze kutetea ubingwa wake wa UBO.
Mbali na pambano hilo lililo malizika saa tano usiku kulikuwa na mapambano mengine kama kumi ya utangulizi kwenye ukumbi wa vijana Kinondoni.

0 comments:

Post a Comment