Kikosi kamili cha Sengo FC
Timu ya Sengo FC inajipanga kwenda makambako siku ya Ijumaa ama Jumamosi kucheza na timu ya Makambako United.baada ya kushindwa kwenda hapo jana
Kwamujibu wa Davis Wapalila makamu mwenyekiti wa Sengo FC amesema kilichopekea kutokwenda kwa wakati kwenye mchezo huo wa kirafiki ni tatzi la usafiri ambao haukupatika kwa wakati.
Timu ya Sengo toka mkoani Iringa wilaya ya Iringa mjini imeanza ziara zake kwa lengo la kurudisha heshima ya timu iliyokuwa imefungiwa kutokana na makosa ya kimchezo.
0 comments:
Post a Comment