
Katibu wa kamati ya uchaguzi Yanga, Kaswahili.
Wakati sakata la uchaguzi ndani ya klabu ya Yanga likipamba moto kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo imesema kuwa wagombea watatu wa klabu hiyo hawajawasilisha vyetu vyao vya kumaliza kidato cha nne.
Hayo yameelezwa na Francis Kaswahili katibu wa kamati ya uchaguzi Yanga huku akithibisha kuwa majina ishirini yamehakikiwa na tarehe 14 ndiyo siku ya mwisho ya pingamizi.
Kwa upande mwingine kaswahili ametoa angalizo kwa watakao toa piangamizi la chuki kuwa watatozwa faini ya shilingi laki tano na kusimashwa kufuatilia mchezo wa soka miaka miwili.
Uchaguzi wa Yanga unatarajiwa kufanyika Juni 15 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment