MVELA AFUNGUA MILANGO KWA WADAU.

 
Eliud Mvela  kulia akiwa katika moja ya harakati za soka. 
 Wadau wenye dhamira ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chama cha soka mkoa wa Iringa wameombwa kutokuwa na hofu ya kujitosa kwenye uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika mwezi August mwaka.

Hayo yamebainishwa na katibu wa IRFA,Eliudi Peter Mvela kwa kila mtu anaetaka nafasi hiyo ni ruhusa kuwania lakini bado ni changamoto kubwa kuinua soka la Iringa hadi kufukia lengo.

Mvela ni katibu wa chama soka mkoani Iringa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya TFF amekuwa katika wakati mgumu wa kuendesha soka la Iringa ambayo hadi leo ina ukame wa miaka 12 bila ya ligi kuu Tanzania bara.


0 comments:

Post a Comment