
Nizar akiwa na uzi wa Vancouver ya Canada.
Watu wengi wamekuwa na maswali mengi juu ya Nizar kusaini Yanga wengine wakijiuliza je kaishiwa huku wengine wakijiuliza ama Ulaya na Marekani pagumu kucheza, haya ni ya baadhi ya wadau na mwaka huu jamaa anavaa jezi ya Kijani na Njano we unasemaje?
0 comments:
Post a Comment