Benzema
Wakati usajili wa wachezaji ukiendelea kufanyika ulimwenguni mshambuliaji wa Real madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema amekanusha uvumi wa yeye kujiunga na klabu ya Manchester United msimu huu.
Benzema mwenye umri wa miaka 24 amekiri kuwa kocha Manchester,
Wakati usajili wa wachezaji ukiendelea kufanyika ulimwenguni mshambuliaji wa Real madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema amekanusha uvumi wa yeye kujiunga na klabu ya Manchester United msimu huu.
Benzema mwenye umri wa miaka 24 amekiri kuwa kocha Manchester, Sir Alex Ferguson amekuwa akimtaka ajiungu naye ila kwa sasa hafikirii kuihama Real Madrid.
Kwa upande wa mchezo wa leo dhidi ya England kwenye fainali za kombe la mataifa ya Ulaya, Benzema amesema mchezo utakuwa mgumu kwani England nao wana timu nzuri.
Mbali na mchezo wa Ufaransa na England utakaochezwa saa moja kamili usiku utafuatiwa na mchezo mwingine wa kundi D kati ya Sweden na Ukraine.
amekuwa akimtaka ajiungu naye ila kwa sasa hafikirii kuihama Real Madrid.
Kwa upande wa mchezo wa leo dhidi ya England kwenye fainali za kombe la mataifa ya Ulaya, Benzema amesema mchezo utakuwa mgumu kwani England nao wana timu nzuri.
Mbali na mchezo wa Ufaransa na England utakaochezwa saa moja kamili usiku utafuatiwa na mchezo mwingine wa kundi D kati ya Sweden na Ukraine.
0 comments:
Post a Comment