MIYEYUSHO KUTETEA UBINGWA NA MMALAWI.


 
                  Miyeyusho akiwa katika fuaraha ya ubingwa.
Bondia Francis Miyeyusho  kutendea ubingwa wake na Jonh Masamba toka nchini Malawi.
Pambano hili na kutetea ubingwa wake alioutwaa baada ya kumpiga Mbwana Matumla mwezi juni mwaka huu kwa ushindi wa Point.
Kwamujibu wa taarifa toka katika chanzo cha kuaminika cha habari hii pambano hilo litafanyika Julai 22 kwenye ukumbi wa Umoja vijana jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment