Maximo kutua Jangwani.

                                       
                                        
                                                            Marcio Maximo
fununu zenye kuaminika zinasema kuwa aliekuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil Marcio Maxico amefikia makubaliano ya kuinoa Yanga na huenda akatua nchini kati ya Jumanne au Jumatano ya wiki Ijayo kwaajili ya kuanza kuwanoa wanajangwani.

taarifa kutoka kwenye chanzo nyeti cha habari zinasema kuhusu usajili Yondani ni jembe halali la Yanga huku Kapombe akifukuziwa kutua Jangwani.

0 comments:

Post a Comment