Kikosi kazi cha urugenzi FC
baada ya kutengeneza mazingira mazuri na kufanikisha safari ya ligi daraja la kwanza timu ya kurugenzi inawataka wadau wa soka kujitolea kuisaidia timu ili iweze kufanya vizuri zaidi.
katibu wa chama cha soka wailayani Mufindia Festor Kilipamwambu amezungumza hayo kwa niaba ya viongozi wa klabu kuwa kurugenzi ni timu inayowakilisha mkoa wa Iringa na mafanikio yake ndiyo yetu sote.
kwa sasa kurugenzi inaongoza kundi ikiwa na alama 10 na michezo minne ikiwa imesha cheza.
0 comments:
Post a Comment