YASIN KAPIGE DEBE: Majia.

 
              Bondia Fadhili Majia akisaini mkataba wa pambano yeye na Nassib Ramadhani.
Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhiri Majia amemtaka Raisi wa mchezo huo Yassin Abdallah akapige debe katika magari kama kuendesha ngumi kumemshinda.

Majia amesema hayo hii leo kuwa katika pambano lake lililofanyika jana katika ukumbi wa Friends kona dhidi ya Nassibu Ramadhani ameonewa vibaya na sababu kubwa zikiwa ni Yasin Abdallah.

Ustadh ndiye alishika dhima ya kufanikisha pambano la Chupak toka mkoa mpya wa Njombe dhidi ya Laslie Hurbet wa Hungury.

0 comments:

Post a Comment