NSAJIGWA
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sports Club ipo mbioni kumsajili mlinzi wa klabu ya simba Shadrack Nsajigwa kama mrithi wa namba ya Nassor Saidi Chollo alieumia akiwa katika kikosi cha Stars.
Kwa mujibu wa taarifa nilizozipata hivi punde toka katika chanzo cha kuaminika cha habari zinasema kuwa mbali na nyota huyo Simba inamikakati ya kufanya mabadiliko makubwa zaidi ili kuimarisha kikosi hicho.
Nsajigwa kwa sasa yupo nchini Kenya kufanya mazungumzo na nilipa fursa ya kuchati naye kwa njia mtandao wa kijamii hakuweza kuweka wazi kama kuna makubaliano hayo ila yupo Kenya kwaajili ya kufanya mazungumzo na klabu ya Gor Mahia anayocheza mlinda mlango Ivo Mapunda.
0 comments:
Post a Comment