Mvela kulia akiwa kwenye shughuri za soka
Chama cha soka mkoani Iringa IRFA kujadili jinsi ya kusafirisha wachezaji wa Copa Coca Cola hii leo.
Kwa mujibu wa katibu wa IRFA Eliud Mvela amesema taarifa kamili itatolewa jioni ya leo na kikwazo kikubwa kinatokana na hali ya uchumi na kiasi walichonacho.
0 comments:
Post a Comment