Ni maumivu mengine ndani ya Simba.

                         
                                          Emmanuel Okwi akichuana na beki wa Yanga Shdrack Nsajigwa.
Jembe la klabu ya Simba emanuele Okwi kutua Jangwani kwaajili ya kumalizana na Yanga hii itachukua siku tatu tu kutoka leo kabla yaOkwi kuja kuchota mihela ya Yanga.

lakini pia Yanga inamnyemelea mlinzi wa Simba Shomary Kapombe hii usimwambie mtu ni ngumu kumeza.
kwa nilivyozungumza na baadhi ya viongozi wa Simba wao wanajiamini kuwa mambo mazuri yapo ndani ya klabu yao na hakuna jipya ambalo Yanga wanaweza kulifanya ikiwa na maanda usajili wa Yanga ni kilele za Mbu nje ya chandarua.

0 comments:

Post a Comment