Nadal akiwa na taji la French Open
Mcheza tenis namba mbili duniani Rafael Nadal avunja rekodi ya michuano ya French Open kwa kutwaa ubingwa mara saba mfululizo huku akimuacha Bjorn Borg akiwa amechukua mara sita.
Katika fainali hiyo Nadal alimfunga bingwa namba moja duniani ambaye ni Novak Djokovic kwa seti 6-4 6-3 2-6 7-5 katika mchezo ulioharishwa kwa siku moja kutokana mvua kubwa kunyesha.
1 comments:
Karibu katika ulimwengu wa magazeti-tando mkuu
Post a Comment