YOUNG BLACKS YAFANYA MAUAJI

Vijana wa TMK ya Young Blacks imeifunga timu ya Magomeni magoli 5 kwa 3 kwenye michuano ya kombe la Makulumla.
magoli yamefungwa na nyota wa Polisi Iringa aliefunga  magoli 3 huku Deo Magoli akifunga mawili.

kichapo hicho kimefuatia baada ya mchezo wa kwanza kumalizika kwa sarea ya goli 1 kwa 1, na  kwa maana hiyo Young Black imeingia hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.

0 comments:

Post a Comment