Hii ya leo ni furaha kwangu.

Twalib Omary (Dr.Muwa) akiwa katika furaha ya hali ya juu ya kusherehekea siku ya kuzaliwa hivi leo tare 9 June 2012 ambapo bakuli mpya ya umri wa inafunguliwa
 hapa nipo jembe langu la The Splash ndani ya Ebony Fm akichapa Tikiti mbaya huku akiniuliza mwanangu hii klai Birthdaya na tikiti huku tukiacha mtungi mkali?

0 comments:

Post a Comment