Shujaa mpya wa bongo, Kim Polsen
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars yatinga nafasi ya nne kwenye msimamo wa kundi C ikiwa ni harakati ya kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 kule nchini Brazil.
Stars imeibuka kifua mbele baada ya kushinda magoli 2 kwa 1 ikitoka katika kuongozwa goli moja na Gambia na baadae kipndi cha pili Shomary Kapombe na Erasto Nyoni wakiwa ndio wafungaji wa timu ya taifa ya Tanzania.
baada ya mchezo wa leo Tanzania inakabiliwa na kibarua kigumu tarehe 15 mwezi huu kucheza na Msumbiji katika mchezo wa marudiano wa kombe la mataifa ya afrika utakaochezwa jijini Maputo.
0 comments:
Post a Comment