Sharapova amtungua Azareka hewani.

                                                   
                               
                                                    Sharapova
Mwanadada wa kirusi na mcheza tenis Maria Sharapova hii leo ametwaa ubingwa wa michuano ya French Open kwa wanawake baada kumfunga Sara Erani raia wa Italia kwa seti  6-3, 6-2 na kutwaa taji hilo la Roland Garos.

mara baada ya matokeo hayo Sharapova amempoka nafasi mwana dada wa Belaus na Victoria Azareka aliekuwa akishika nafasi ya kwanza kwa wanawake.
                                        

                                            Majembe yatayokutana kesho
Hapo kesho tunashuhudia fainali nyingine kwa wanaume ambapo Rafael bingwa mtetezi wa michuano hiyo atacheza na Djokovic mchezo wa fainali.

0 comments:

Post a Comment