Kipute cha kwanza nchini Italia kwa siku ya leo ambapo Italia na Hispania wametoka sare ya goli 1 kwa 1.
goli la Italia likifungwa na Antonio Di Natale katika dakika ya 60 huku goli laHispania likifungwa na Cesc Farbegas katika dakika ya 64.
sasa tusubiri kipute kati ya Jamhuri ya Ireland na Crotia.
0 comments:
Post a Comment